VIDEO Nabii Mwamposa Adaiwa Kukaidi Kibali Alichopewa Na Polisi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi George Simbachawene amesema Nabii na Mtume, Boniphace Mwamposa alikaidi taratibu za kibali kilichomtaka afanye huduma mpaka saa 12 jioni, huduma aliyoitoa hadi saa 2 usiku na kuwaamuru waumini wakanyage mafuta kabla ya maafa hayo kutokea.

Instascoop

Njia rahisi ya kusoma/kupata habari zote tunazozipika kila siku ni.

INGIA
JISAJILI
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza namba ya simu hapo chini uliyotumia wakati wa kuJISAJILI kurejesha.

Una akaunti? Ingia

Terms
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza neno la siri jipya.
Badili

Una akaunti? Ingia

Terms