Jinsi Wanandoa Raia Wa China Walivyodakwa Wakimpa Sh11 Milioni Bosi TRA Wasamehewe Kodi

Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Ipyana Mwakatobe ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jinsi Zheng Rongman (50) na mkewe Ou Ya (47) walivyompa rushwa ya Sh11.5 milioni Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Dk Dk Edwin Mhede ili wasamehewe kodi.

Instascoop

Njia rahisi ya kusoma/kupata habari zote tunazozipika kila siku ni.

INGIA
JISAJILI
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza namba ya simu hapo chini uliyotumia wakati wa kuJISAJILI kurejesha.

Una akaunti? Ingia

Terms
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza neno la siri jipya.
Badili

Una akaunti? Ingia

Terms