Bosi Simba Amvulia Kofia Kwa Morrison Wa Yanga

Aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Idd Kajuna, amesifu kiwango cha winga mpya wa Yanga, Bernard Morrison lakini wasiwasi ni ‘udambwiudambwi’ anaouonyesha uwanjani na ataendana na waliopo kikosini mwake.Kajuna alisema, Morrison ni mchezaji mzuri, mzoefu na anajua anachokifanya, historia yake ya nyuma iko vizuri.

Instascoop

Njia rahisi ya kusoma/kupata habari zote tunazozipika kila siku ni.

INGIA
JISAJILI
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza namba ya simu hapo chini uliyotumia wakati wa kuJISAJILI kurejesha.

Una akaunti? Ingia

Terms
Forgot password

Umesahau neno la siri?

Ingiza neno la siri jipya.
Badili

Una akaunti? Ingia

Terms